Utafiti mfupi wa wafanyabiashara
Asante kwa kushiriki!
Maoni yako yatatusaidia kuelewa mahitaji ya wafanyabiashara wa Dar es Salaam. Ukipenda kuwa miongoni mwa wa kwanza kujaribu ZEKI, unaweza kujisajili kwa Early Access hapa chini.
Kuwa miongoni mwa wa kwanza kutumia ZEKI.
Tunajiandaa kuleta ZEKI kwa wafanyabiashara. Je, ungependa kuwa wa kwanza kupata nafasi ya kuijaribu, kufanya biashara yako ionekane kwa wateja, kupokea oda moja kwa moja na kutumia zana za kusimamia biashara yako?
Jisajili kwa ZEKI Early Access →Usajili ni wa hiari na ni tofauti na kujaza survey. Kujiandikisha hakuhakikishi upatikanaji wa huduma mara moja.
ZEKI Early Access ↗